Yos. 22:4 SUV

4 Na sasa yeye BWANA, Mungu wenu, amewapa ndugu zenu kustarehe, kama alivyowaambia; basi sasa rudini ninyi mwende mahemani kwenu, hata nchi ya milki yenu, ambayo huyo Musa, mtumishi wa BWANA, aliwapa ng’ambo ya pili ya Yordani.

Kusoma sura kamili Yos. 22

Mtazamo Yos. 22:4 katika mazingira