Yos. 24:11 SUV

11 Nanyi mliuvuka Yordani, mkafika Yeriko; nao watu wa Yeriko wakapigana nanyi, Mwamori, na Mperizi, na Mkanaani, na Mhiti, na Mgirgashi, na Mhivi, na Myebusi; nami nikawatia mikononi mwenu.

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:11 katika mazingira