Yos. 24:22 SUV

22 Yoshua akawaambia watu, Ninyi mmekuwa mashahidi juu ya nafsi zenu, ya kuwa mmemchagua BWANA, ili kumtumikia yeye. Wakasema, Sisi tu mashahidi.

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:22 katika mazingira