Yos. 24:26 SUV

26 Yoshua akayaandika maneno haya katika kitabu cha torati ya Mungu; kisha akatwaa jiwe kubwa, akalisimamisha huko, chini ya ule mwaloni uliokuwa karibu na patakatifu pa BWANA.

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:26 katika mazingira