Yos. 24:31 SUV

31 Nao Israeli wakamtumikia BWANA siku zote za Yoshua, na siku zote za hao wazee walioishi baada ya kufa kwake Yoshua, hao walioijua kazi yote ya BWANA, aliyowatendea Israeli.

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:31 katika mazingira