Yos. 3:17 SUV

17 Na hao makuhani waliolichukua sanduku la agano la BWANA wakasimama imara mahali pakavu katikati ya Yordani; Israeli wote wakavuka katika nchi kavu, hata taifa lile lote likaisha kuvuka Yordani.

Kusoma sura kamili Yos. 3

Mtazamo Yos. 3:17 katika mazingira