Yos. 3:4 SUV

4 Lakini, na iwe nafasi kati ya ninyi na lile sanduku, kama dhiraa elfu mbili kiasi chake; msilikaribie mpate kuijua njia ambayo hamna budi kuiendea; kwa maana hamjapita njia hii bado.

Kusoma sura kamili Yos. 3

Mtazamo Yos. 3:4 katika mazingira