Yos. 3:8 SUV

8 Nawe uwaamuru hao makuhani walichukuao sanduku la agano, ukawaambie, Mtakapofika ukingo wa maji ya Yordani, simameni katika Yordani.

Kusoma sura kamili Yos. 3

Mtazamo Yos. 3:8 katika mazingira