Yos. 5:12 SUV

12 Ndipo ile mana ikakoma siku ya pili yake, baada ya wao kuyala hayo mazao ya nchi; na hao wana wa Israeli hawakuwa na mana tena; lakini wakala katika viliwa vya nchi ya Kanaani mwaka huo.

Kusoma sura kamili Yos. 5

Mtazamo Yos. 5:12 katika mazingira