2 Wakati huo BWANA akamwambia Yoshua, Haya, jifanyie visu vya mawe ya gumegume, watahiri tena wana wa Israeli mara ya pili.
Kusoma sura kamili Yos. 5
Mtazamo Yos. 5:2 katika mazingira