Yos. 5:4 SUV

4 Na sababu ya Yoshua kutahiri ni hii; watu wote waliotoka Misri, waliokuwa waume, hao watu waume wote waendao vitani walikufa katika bara njiani, baada ya wao kutoka Misri.

Kusoma sura kamili Yos. 5

Mtazamo Yos. 5:4 katika mazingira