Yos. 5:7 SUV

7 Na watoto wao, aliowainua badala yao ndio hao aliowatahiri Yoshua; kwa kuwa wao walikuwa hawakutahiriwa, kwa maana walikuwa hawakuwatahiri njiani.

Kusoma sura kamili Yos. 5

Mtazamo Yos. 5:7 katika mazingira