9 BWANA akamwambia Yoshua, Siku hii ya leo nimeivingirisha hiyo aibu ya Misri iondoke juu yenu. Kwa hiyo jina la mahali pale likaitwa Gilgali, hata hivi leo.
Kusoma sura kamili Yos. 5
Mtazamo Yos. 5:9 katika mazingira