Yos. 6:15 SUV

15 Ikawa siku ya saba wakaondoka asubuhi na mapema wakati wa mapambazuko, wakauzunguka mji vivyo hivyo mara saba; ila siku hiyo waliuzunguka huo mji mara saba.

Kusoma sura kamili Yos. 6

Mtazamo Yos. 6:15 katika mazingira