Yos. 6:17 SUV

17 Na mji huu utakuwa wakfu kwa BWANA, mji wenyewe na vitu vyote vilivyomo; isipokuwa Rahabu, yule kahaba, ataishi, yeye na watu wote walio pamoja naye nyumbani, kwa sababu aliwaficha hao wapelelezi tuliowatuma.

Kusoma sura kamili Yos. 6

Mtazamo Yos. 6:17 katika mazingira