Yos. 6:7 SUV

7 Naye akawaambia watu, Piteni mbele, mkauzunguke mji, na hao watu wenye silaha na watangulie mbele ya sanduku la BWANA.

Kusoma sura kamili Yos. 6

Mtazamo Yos. 6:7 katika mazingira