Yos. 7:11 SUV

11 Israeli wamefanya dhambi, naam, wamelivunja agano langu nililowaagiza; naam, wametwaa baadhi ya vitu vilivyowekwa wakfu; tena wameiba, tena wameficha na kuvitia pamoja na vitu vyao wenyewe.

Kusoma sura kamili Yos. 7

Mtazamo Yos. 7:11 katika mazingira