Yos. 7:15 SUV

15 Tena itakuwa ya kwamba yeye atakayetwaliwa, naye anacho kitu kile kilichowekwa wakfu, atateketezwa kwa moto, yeye na vitu vyote alivyo navyo; kwa sababu amelivunja agano la BWANA, na kwa sababu ametenda upumbavu katika Israeli.

Kusoma sura kamili Yos. 7

Mtazamo Yos. 7:15 katika mazingira