Yos. 7:18 SUV

18 Akawasogeza watu wa nyumba yake mmoja mmoja; na Akani, mwana wa Karmi, mwana wa Zabdi, mwana wa Zera, wa kabila ya Yuda akatwaliwa.

Kusoma sura kamili Yos. 7

Mtazamo Yos. 7:18 katika mazingira