Yos. 7:2 SUV

2 Kisha Yoshua akatuma watu kutoka Yeriko mpaka mji wa Ai, ulio karibu na Bethaveni, upande wa mashariki wa Betheli, akawaambia, akisema, Pandeni juu mkaipeleleze nchi, basi wakapanda juu wakaupeleleza Ai.

Kusoma sura kamili Yos. 7

Mtazamo Yos. 7:2 katika mazingira