Yos. 7:9 SUV

9 Maana Wakanaani na wenyeji wote wa nchi hii watasikia habari hii, nao watatuzingira, na kulifuta jina letu katika nchi. Nawe utafanya nini kwa ajili ya jina lako kuu?

Kusoma sura kamili Yos. 7

Mtazamo Yos. 7:9 katika mazingira