Yos. 8:13 SUV

13 Basi wakawaweka hao watu, jeshi zima lililokuwa upande wa kaskazini wa mji, na wale waliokuwa waotea upande wa magharibi wa mji; naye Yoshua akaenda usiku huo katikati ya hilo bonde.

Kusoma sura kamili Yos. 8

Mtazamo Yos. 8:13 katika mazingira