Yos. 8:28 SUV

28 Basi Yoshua akaupiga moto mji wa Ai, na kuufanya kuwa ni chungu ya magofu hata milele, kuwa ni ukiwa hata siku hii ya leo.

Kusoma sura kamili Yos. 8

Mtazamo Yos. 8:28 katika mazingira