Yos. 8:8 SUV

8 Kisha itakuwa, mtakapoushika mji, ndipo mtauteketeza mji kwa moto; sawasawa na hilo neno la BWANA; angalieni, nimewaagiza.

Kusoma sura kamili Yos. 8

Mtazamo Yos. 8:8 katika mazingira