Yos. 9:25 SUV

25 Basi sasa, tazama, sisi tu mkononi mwako; basi kama uonavyo kuwa ni vyema na haki kwako wewe kututenda, tutende vivyo.

Kusoma sura kamili Yos. 9

Mtazamo Yos. 9:25 katika mazingira