Yos. 9:27 SUV

27 Siku iyo hiyo Yoshua akawafanya kuwa ni wenye kupasua kuni, na wenye kuteka maji, kwa ajili ya mkutano, na kwa ajili ya madhabahu ya BWANA, hata siku hii ya leo, katika mahali hapo atakapopachagua.

Kusoma sura kamili Yos. 9

Mtazamo Yos. 9:27 katika mazingira