Yos. 9:9 SUV

9 Nao wakamwambia, Sisi watumishi wako twatoka nchi iliyo mbali sana, kwa sababu ya jina la BWANA, Mungu wako; kwa kuwa sisi tumesikia sifa zake, na habari ya hayo yote aliyofanya huko Misri,

Kusoma sura kamili Yos. 9

Mtazamo Yos. 9:9 katika mazingira