Zek. 1:14 SUV

14 Basi yule malaika aliyesema nami akaniambia, Haya, piga kelele na kusema, BWANA wa majeshi asema hivi, Naona wivu kwa ajili ya Yerusalemu, na kwa ajili ya Sayuni; naona wivu mkuu sana.

Kusoma sura kamili Zek. 1

Mtazamo Zek. 1:14 katika mazingira