19 Nami nikamwuliza yule malaika aliyesema nami, Nini hizi? Naye akanijibu, Hizi ndizo pembe zilizowatawanya watu wa Yuda, na Israeli, na Yerusalemu.
Kusoma sura kamili Zek. 1
Mtazamo Zek. 1:19 katika mazingira