Zek. 1:8 SUV

8 Naliona wakati wa usiku, na tazama, mtu amepanda farasi mwekundu, akasimama kati ya mihadasi iliyokuwa mahali penye uvuli; na nyuma yake walikuwapo farasi wengine wekundu, na wa rangi ya kijivujivu, na weupe.

Kusoma sura kamili Zek. 1

Mtazamo Zek. 1:8 katika mazingira