Zek. 10:7 SUV

7 Na watu wa Efraimu watakuwa kama shujaa, na moyo wao utafurahi kana kwamba ni kwa divai; naam, watoto wao wataona mambo haya, na kufurahi; mioyo yao itamfurahia BWANA.

Kusoma sura kamili Zek. 10

Mtazamo Zek. 10:7 katika mazingira