Zek. 12:12 SUV

12 Nayo nchi itaomboleza, kila jamaa peke yake; jamaa ya nyumba ya Daudi peke yao, na wake zao peke yao; jamaa ya nyumba ya Nathani peke yao, na wake zao peke yao;

Kusoma sura kamili Zek. 12

Mtazamo Zek. 12:12 katika mazingira