Zek. 12:3 SUV

3 Tena itakuwa siku hiyo, nitafanya Yerusalemu kuwa jiwe la kuwalemea watu wa kabila zote; wote watakaojitwika jiwe hilo watapata jeraha nyingi; na mataifa yote ya dunia watakusanyika pamoja juu yake.

Kusoma sura kamili Zek. 12

Mtazamo Zek. 12:3 katika mazingira