Zek. 14:8 SUV

8 Tena itakuwa siku hiyo, ya kwamba maji yaliyo hai yatatoka katika Yerusalemu; nusu yake itakwenda upande wa bahari ya mashariki, na nusu yake upande wa bahari ya magharibi; wakati wa hari na wakati wa baridi itakuwa hivi.

Kusoma sura kamili Zek. 14

Mtazamo Zek. 14:8 katika mazingira