Zek. 2:11 SUV

11 Na mataifa mengi watajiunga na BWANA katika siku ile, nao watakuwa watu wangu; nami nitakaa kati yako, nawe utajua ya kuwa BWANA wa majeshi amenituma kwako.

Kusoma sura kamili Zek. 2

Mtazamo Zek. 2:11 katika mazingira