Zek. 2:6 SUV

6 Haya! Haya! Ikimbieni nchi ya kaskazini, asema BWANA; kwa maana mimi nimewatawanya ninyi kama pepo nne za mbinguni, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Zek. 2

Mtazamo Zek. 2:6 katika mazingira