Zek. 2:8 SUV

8 Kwa maana BWANA wa majeshi asema hivi, Ili nitafute utukufu amenituma kwa mataifa wale waliowateka ninyi; maana yeye awagusaye ninyi aigusa mboni ya jicho lake.

Kusoma sura kamili Zek. 2

Mtazamo Zek. 2:8 katika mazingira