1 Kisha akanionyesha Yoshua, kuhani mkuu, amesimama mbele ya malaika wa BWANA, na Shetani amesimama mkono wake wa kuume ili kushindana naye.
Kusoma sura kamili Zek. 3
Mtazamo Zek. 3:1 katika mazingira