Zek. 3:4 SUV

4 Naye huyo akajibu, akawaambia wale waliosimama mbele yake, akisema, Mvueni nguo hizi zenye uchafu. Kisha akamwambia yeye, Tazama, nimekuondolea uovu wako, nami nitakuvika mavazi ya thamani nyingi.

Kusoma sura kamili Zek. 3

Mtazamo Zek. 3:4 katika mazingira