Zek. 4:2 SUV

2 Akaniuliza, Unaona nini? Nikasema, Nimeona, na tazama, kinara cha taa cha dhahabu tupu, nacho kina bakuli juu yake, na taa zake saba juu yake; tena iko mirija saba ya kuleta mafuta, kwa taa zote zilizo juu yake;

Kusoma sura kamili Zek. 4

Mtazamo Zek. 4:2 katika mazingira