Zek. 7:1 SUV

1 Ikawa katika mwaka wa nne wa mfalme Dario, neno la BWANA lilimjia Zekaria, siku ya nne ya mwezi wa kenda, yaani, Kisleu.

Kusoma sura kamili Zek. 7

Mtazamo Zek. 7:1 katika mazingira