Zek. 7:10 SUV

10 tena msimdhulumu mjane, wala yatima, wala mgeni, wala maskini; wala mtu awaye yote miongoni mwenu asiwaze mabaya juu ya ndugu yake moyoni mwake.

Kusoma sura kamili Zek. 7

Mtazamo Zek. 7:10 katika mazingira