Zek. 8:6 SUV

6 BWANA wa majeshi asema hivi, Ingawa hili ni neno lililo gumu mbele ya macho ya mabaki ya watu hawa katika siku hizo, je! Liwe neno gumu mbele ya macho yangu? Asema BWANA wa majeshi.

Kusoma sura kamili Zek. 8

Mtazamo Zek. 8:6 katika mazingira