Zek. 9:1 SUV

1 Ufunuo wa neno la BWANA, lililosemwa juu ya nchi ya Hadraki, na Dameski itakuwa mahali pake pa kustarehe; kwa maana jicho la mwanadamu na la kabila zote za Israeli linamwelekea BWANA;

Kusoma sura kamili Zek. 9

Mtazamo Zek. 9:1 katika mazingira