Zek. 9:11 SUV

11 Na kwa habari zako wewe, kwa sababu ya damu ya agano lako, nimewatoa wafungwa wako katika shimo lile lisilo na maji.

Kusoma sura kamili Zek. 9

Mtazamo Zek. 9:11 katika mazingira