Zek. 9:5 SUV

5 Ashkeloni ataona haya na kuogopa; Gaza pia, naye atafadhaika sana; na Ekroni, kwa maana taraja lake litatahayarika; na mfalme ataangamia toka Gaza, na Ashkeloni atakuwa hana watu.

Kusoma sura kamili Zek. 9

Mtazamo Zek. 9:5 katika mazingira