Luka 12:38 BHN

38 Hata kama atarudi usiku wa manane au alfajiri na kuwakuta wanakesha, heri yao watumishi hao!

Kusoma sura kamili Luka 12

Mtazamo Luka 12:38 katika mazingira