Ufunuo 11:9 BHN

9 Watu wa kila kabila, lugha, taifa na rangi wataziangalia maiti hizo kwa muda wa siku tatu na nusu, na hawataruhusu zizikwe.

Kusoma sura kamili Ufunuo 11

Mtazamo Ufunuo 11:9 katika mazingira