Ufunuo 21:8 BHN

8 Lakini watu waoga, wasioamini, wapotovu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, na waongo wote, mahali pao patakuwa ndani ya lile ziwa linalowaka moto na madini ya kiberiti; hicho ndicho kifo cha pili.”

Kusoma sura kamili Ufunuo 21

Mtazamo Ufunuo 21:8 katika mazingira