2 Mambo Ya Nyakati 1:5 BHN

5 Tena, madhabahu ya shaba iliyotengenezwa na Bezaleli, mwana wa Uri na mjukuu wa Huri, pia ilikuwa huko Gibeoni mbele ya hema takatifu la Mwenyezi-Mungu. Hapo mfalme Solomoni na watu wote wakamwomba Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Mambo Ya Nyakati 1

Mtazamo 2 Mambo Ya Nyakati 1:5 katika mazingira